Da Yasinta usemayo kweli. Hata lugha yao ina baadhi ya maneno yanafafana na ya kwenu mfano ingelosi yaani Malaika. Endelea kuburudika dada yangu bila kusahau kuwahusisha akina Camilla, Erik na baba yao lau waonje vionjo vya nyumbani. Mbarikiweni sana.
2 comments:
Nakuelewa nami ni nyimbo zangu pia halafu hapa jasho jembamba lanitoka maani mapigo yake yanafanana sana na ya LIZOMBE ...
Da Yasinta usemayo kweli. Hata lugha yao ina baadhi ya maneno yanafafana na ya kwenu mfano ingelosi yaani Malaika. Endelea kuburudika dada yangu bila kusahau kuwahusisha akina Camilla, Erik na baba yao lau waonje vionjo vya nyumbani.
Mbarikiweni sana.
Post a Comment