How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Tuesday, 7 June 2016

Tunajitahidi kufaidi Summer kabla mambo hayajaharibika


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Yaani hapo inabidi mjitahidi kwa kila sekunde umpatayo maana mmmhhh mambo hayakawii kubadilika....ila sasa mbona ni ubaguzi huo eati wawili tu kweli:-)

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yasinta asante sana kwa mchango wako. Hata hivyo umelalamikia ubaguzi. Hao wengine ni matokeo sisi ndiyo mtaji. Ukituona sisi umewaona wao. Na isitoshe, tuko nao kwa muda, walitukuta wawili na watatuacha wawili. Hata hivyo nitawatundika nao baadaye.

Yasinta Ngonyani said...

Zikomo...Tupo pamoja...Hilo la mwisho limenifurahisha zaidi:-)