Dikteta anaposhuka kwenye gari kuchimba dawa
Hivi karibuni imla wa Uganda Yoweri Museveni aliwashaza waganda kwa kuchomoka kwenye gari na kuweka kiti barabarani na kuanza kuchonga bila kujali kuwa kulikuwa na watu nyuma na mbele ya msafara wake wakipoteza muda kwa sababu ya wendawazimu wa mtu mmoja. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
No comments:
Post a Comment