The Chant of Savant

Monday 3 July 2017

Ama kweli aliyeko juu mngoje chini! Nani alitegemea tapeli Rugemalayer kulala Keko?

Mtuhumiwa na kingpin wa wizi wa IPTL James Rugemalira sasa ni mahabusu anayesota asijue atachomoka lini. Sawa na Hassy Kitilya, Sioi Sumari na vigogo wengine, anaendelea kuonja matunda ya jinai yake. Picha hii japo ni ya kiumbe anayeudhi, nimeipenda sana. Nadhani hili linapaswa kuwa somo kwa majambazi wengine ambao tawala zilizopita licha ya kulala nao kitanda kimoja ziliwaendekeza na kuwalinda kiasi cha kutukoga na fedha zetu. May they perish!

No comments: