The Chant of Savant

Thursday 13 August 2020

MIAKA 21 BAADA YA KIFO CHA NYERERE

 Zapiro: 899 - The Mail & GuardianKwa tulisikia marehemu Benjamin Mkapa rais mstaafu aliyefariki majuzi akitangaza kifo cha baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere, ni kama ilikuwa jana. Kwangu binafsi, hakuna matukio ninayoyakumbuka kama kifo cha Nyerere na baadaye mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11 kule Marekani. Kweli siku hazingandi. Lala pema Kambarage Julius NyerereMwalimu Julius Nyerere: An intellectual in power | Pambazuka News

No comments: