The Chant of Savant

Monday 24 August 2020

NI MIAKA 20 TANGU GWIJI NA NGULI JOHN NGEREZA WA LES WANYIKA ATUTOKE

KENYA

Japo alitoa mchango mkubwa katika burdani miaka ya 80 na 90, sijui kama kweli kuna kumbukizi lake. Hawa ndiyo majabari ya muziki yaliyofanya muziki uwe si burdani tu bali sehemu ya urathi wa mataifa na Afrika. Wimbo wa Sina Makosa hadi sasa unasifika utadhani uliimbwa jana. John Ngereza ni mmojawapo waliotoa burdani hii isiyo na kifani. Ama kweli, ya kale dhahabu.

1 comment:

Unknown said...

Pamela ni kibao ambacho huwa chaniliwaza sana,