The Chant of Savant

Wednesday 12 August 2020

MIAKA 9 TANGU KUONDOKA KIFOTO

Kifoto Miaka sasa imetimu tangu mtunzi maarufu wa wimbo wa Charonyi ni Wasi Habel Kifoto afariki ghafla huko nchini Kenya. Mwanamuziki huyu wa Maroon Commandos alikonga nyoyo za wengi. Leo tumemkumbuka gwiji huyu hasa ikizingatiwa kuwa alikuwa mwezi huu mwaka 2011 jijini Nairobi-Kenya

No comments: