The Chant of Savant

Wednesday 8 May 2013

Nchi ya wagumu wa kuelewa!






Je wagumu wetu pande zote wanajitambua na kutambua hasara ya ugumu wao kwa taifa? Kuna wagumu wanaoitwa watawala wanaofanya mambo kama mataahira au hakuna kesho. Pili kuna wagumu wanyanyaswaji na wanyonyaji wanaoona mambo kitaahira na kugeuza nakma kuwa kitu cha kawaida. Kweli tuseme hii ni nchi ya wagumu watupu. Wagumu wanaofaidika na wagumu wasiofaidika. Hata hivyo wote ni wagumu tu. Je ugumu huu ni sifa ya maana kwa jamii na taifa? Tutafakari kwa kina pamoja.

No comments: