The Chant of Savant

Wednesday 17 July 2013

16th Anniversary of our Marriage

Sixteen years ago my wife Nesaa and I ceased to be bachelors. We quit the camp and joined together in our nest. As year went by, we're blessed with six children. We thank Lord that for all those years our marriage has been rosy and enjoyable. If we were to be asked whom we would like to marry, the answer would be the same even a million times. Satisfied, cherishing each other, loving and caring, we still believe that we are closer than even the day we first met. Hatujutii kuoana na kila siku tunaona kama ni siku ya kwanza kuonana.Unaweza kusoma ujumbe aliotuma mamsap kwenye link hii chini. Nimempa ujumbe gani? Siri kubwa. 

http://www.smilebox.com/playBlog/4d7a637a4e5449314e54493d0d0a&blogview=true

9 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana kwa kutimiza miaka kumi na sita ya ndoa kwani si mchezo kwa kweli na nawatakienikila la kheri. Halafu mmependeza kweli:-)

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Shukrani da Yacinta. Na sala zako naamini zimefika Aamin nawe ubarikiwe katika ndoa yako.

Anonymous said...

hongereni wapendwa

Miss K. said...

Kila la heri na baraka tele....Mungu awazidishie miaka mingi zaidi na zaidi ya ndoa yenu!! Happy Anniversary MR&MRS MHANGO!!!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Wapendwa Anonymous na Miss K,
Shukrani kwa heri na salamu zenu. Tunaamini Mwenyewe Mwenyezi Mungu amesikia na kuridhia. Nasi twawatakieni maisha mema yenye ufanisi furaha na upendo.
Nkwazi kwa niaba ya Nesaa.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Hongereni sana jamani. Miaka 16 siyo mchezo jamani. Mungu Aendelee kuwabariki tena na tena...AMEN !!!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Msangu ndugu yangu uko wapi? Kila siku huwa nalalamika kwa shemeji yako kuwa huenda kitu kibaya kimekutokea. Ni faraja kupata ujumbe wako. Tunashukuru kwa kututakia heri. Je kaka nini kilikusibu hadi ukakimbia uga wako? Niruhusu niutangazie ulimwengu kuwa umetoka mafichoni.

mgaya chris said...

hongera sana

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Chris Mgaya tunashukuru kwa salamu zako. Tunakutakia kila la heri katika kila ulifanyalo.