
Viongozi wa namna hii ni wa kuogopwa kama ukoma. Hapa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula akijidhalilisha kwa mfanyabiashara na mbunge mwenye utata jinsi alivyopata utajiri wake Mohamed Dewji. Bila shaka anakwenda kumtoa mshiko jambo ambalo halidhalilishi mhusika bali hata taifa. Chini nako ni anayejiita mwenyekiti wa CCM huko Washington Marekani George Sebo anakwenda ofisi kwa Edward Lowassa kuombaomba ili aweze kuishi. Wanamtembelea Lowassa kama nani kama siyo kutafuta chochote kitu?
No comments:
Post a Comment