Breaking news!!! Hashim Saggaf afariki dunia leo
Hashim Saggaf (Pichani juu) mbunge wa zamani wa Dodoma Mjini CCM hatunaye tena. Taarifa toka kwa jamaa wa marehemu zinadai Saggaf amefariki japo hazikwenda kwenye undani wa nini kilisababisha mauti yake. Tunaipa pole familia ya marehemu.
No comments:
Post a Comment