Waziri auawa kwa mapanga
Waziri wa zamani wa Afya wa Central African Republic (CAR) Joseph Kalite (pichani) aliuawa kwa mapanga alipokuwa akishuka kwenye teksi mjini Bangui pindi tu baada ya kuapishwa kwa rais wa mpito Catherine Samba-Panza. Hali nchini humu ni mbaya hasa baada ya kuzuka mapigano baina ya waislam na wakristo. Kalite alikuwa muislam. Kwa habari zaidi GONGA HAPA.
No comments:
Post a Comment