Hii kali:" Papa" anapokutana na "dagaa"!
- Huyu mtemi wa Roma mkali kweli. Anajua kujichanganya hakuna mfano. Ametokea kuzoea ujiko ndani ya muda mfupi kiasi cha kuwapiku wengi waliomtangulia. Je huyu dogo naye akikua atakuwa mtemi wa Vaticana au kinyume? Kweli watoto ni malaika.
No comments:
Post a Comment