How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Wednesday, 19 February 2014

Unacheza na Bongolala land nini?

2 comments:

Anonymous said...

Kuna mmmoja ya Mawaziri wa sasa naye alikwisha wahi kupigwa picha akiuchapa usingizi bunge la watu maskini...Je hivi jina lipo huku kwenye hili linaloitwa Baraza la Katiba kwa ajili ya Tanzania ya miaka mia moja ijayo? Je ataacha hiyo tabia yake....?? Tuambia hapo Mwalimu NN Mhango!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon,
Bila shaka huyu si mwingine bali Stephen "Tyson" Wassira ambaye licha ya ugonjwa huu wa malale eti naye anautaka urais ambao umegeuka kuwa urahisi. Kimsingi, wengi wa waliokwenda kwenye bunge hilo wamekwenda kutengeneza fedha na si katiba. Maana ukisikia hoja za kichovu za kugombea posho zinazotolewa unaona ukweli. Kuna uzi nilitundika juu ya wachovu kama Cheyo Mrema na Kingunge nao kuwamo. Je hawa zaidi ya uroho na uchoyo wana jipya gani zaidi ya njaa ya mawazo na kama wanayo ni mgando?