How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Friday, 21 February 2014

Huyu kweli bado ana mawazo mapya katiba mpya au njaa tu?












                        
Mjumbe wa bunge la katiba John Cheyo akisaidiwa kupanda ngazi kuingia ukumbini. Siamini kama vikongwe kama Kingunge Ngombale Mwiru, Augustine Lyatonga Mrema na wale wanaoingia mle kuganga njaa zao wana jipya zaidi ya kuturudisha nyuma kwa upogo na njaa zao. Katiba mpya ni ya kizazi kipya inayotaka watu wapya wenye mawazo mapya na si wanganga njaa na ukale na mawazo mgando yao.

2 comments:

Anonymous said...

Huu ni mtazamo wangu tuu, nadhani hao wote wanatakiwa kurudi shuleni kusomeshwa elimu ya uraia na uzalendo na kufanyiwa mtihani closed book exams, na alama ya chini ya ufaulu wa mtihani wao iwe ni asilimia themanini. Iwapo itatokea walioshindwa kufikia hizo alama za ufaulu basi waondolewe katika hilo baraza.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon umetoa mpya. Nimeipenda sana hii ya somo la uzalendo na viwango vya ufaulu. Ila kwa taifa ambako kufeli na kughushi ni vitu vya kawaida, mtihani wako utafelisha wengi.