Picha na Makamanda baaada ya kushuka chomboni
Tulitumia ndege aina ya 1966 Piper Cherokee. Ni ndege nzuri japo ya kizamani. Hali ya hewa ilikuwa nzuri sana kiasi cha kutokumbwa na misukosuko kama ilivyo kawaida ya ndege ndogo. Kama baba yao, makamanda wanapenda sana ndege kiasi cha kuwa usumbufu. Hivyo, kila nikipata fursa, nitakuwa nikiwapa ride japo nao waanze kufuata nyayo mapema. |
2 comments:
Kaka...hata taarifa nami shangazi yao ningejumuika☺. Kwa kweli inapendeza sana maana katika maisha familia ni mstari wa mbele..NIMEPENDA SANA HII
Da yasinta tunashukuru sana na unakaribishwa. Who knows. Huenda siku moja tukajumuika ima Ulaya, Afrika au huku Amerika. Wape hi wapendwa wote na furahia summer yako hasa ikizingatiwa kuwa muda unazidi kuyoyoma.
Post a Comment