How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Wednesday, 7 August 2019
Wangapi Wanamkumbuka Gen Mstaafu Mzee David Musuguri
Jenerali Musuguri akiwa na marehemu baba wa taifa Mwl Julius Nyerere na Silas Mayunga. Mzee Musuguri licha ya kuwa mkuu wa majeshi ya Tanzania baadaye, ndiye aliyepewa jukumu la kumpiga na kumtimua nduli Idi Amin wa Uganda hapo mwaka 1979 jukumu na kazi ambavyo alivitekeleza kwa kiwango cha juu tena ndani ya muda mfupi wa miezi minane iliyomuona nduli akitimka na kukimbilia Libya kabla ya kuishia Saudi Arabia alikofia. Je ni wangapi wanamkumbuka shujaa huyu aliyezaliwa miaka 96 iliyopita huko Butiama anakoishi kwa sasa? Tuwakumbuke mashujaa wetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment