The Chant of Savant

Monday 6 August 2012

Huyu ng'ombe mali kweli kweli

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kwanini? kwani ngómbe wengine sio mali?

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Lol! Nimeishawachoza wataalamu wa lugha! Nilitaka kumaanisha kuwa anavutia. Ng'ombe wote si mali hata hivyo. Hivi ng'ombe aliyebakia mifupa kama serikali ya Jakaya naye mali da Yacinta?