The Chant of Savant

Saturday 11 August 2012

Kumbe paka ana akili kuliko mbwa hata kama wote wanafugwa!


A video of a cat outsmarting a dog by jumping on a surfboard has gone viral (YouTube)

Katika picha hii mbwa alijaribu kumfukuza paka. Baada ya paka kuona amezidiwa alimua kuyaingia maji na kumuacha mbwa akikata tamaa na kurejeza zake nyumbani.

1 comment:

Anonymous said...

Wataalamu wanasema Binadamu hata akiwacha kula Bangi leo basi moshi utachelewa kutoka kwenye kichwa kwa muda miaka 10