The Chant of Savant

Monday 27 August 2012

Ngono inapotumika kama silaha dhidi ya ukandamizaji



Wanawake nchini Togo wametakiwa kutojamiiana na waume zao kwa wiki moja ili kumlazimisha rais wa nchi hiyo Faure Gnassingbe Eyadema kuachia madaraka.
Baada ya Eyadema aliyerithi madaraka toka kwa baba yake aliyeitawala nchi hiyo kwa miaka 37 hadi alipokutwa na mauti, kuonyesha kutopenda upinzani, wanawake wameombwa wawasusie waume zao hili likiwa ni shinikizo wa Eyadema. Wengi wanangoja kuona matokeo ya aina hii mpya ya upambanaji kwa ajili ya haki za kidemokrasia. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika dunia hii ina mambo ....

Jaribu said...

James Bond alikua anafanya hivyo for England, kwa hiyo hao njemba wanatakiwa wafanye hivyo for Togo! Not quite the same ring to it, I am afraid.