How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Wednesday, 26 February 2014

I Love This Stuff

8 comments:

Jaribu said...

Hilarious! I love it too!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Wow! Bado Mr Jangili, Fisadi, Dr Zero, RizOne, Salma Tamaa and others au vipi?

Jaribu said...

Ja! Lakini watafungiwa kwa uchochezi. Ni kama vibaka wa huku ukiwachongea kwa polisi wanakuambia, "No snitching! Vibaka wa Tanzania wanasema hawataki "uchochezi" Same thing!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Wow! Yamekuwa hayo? Hukumsikia Dk Ziro akisema walete sheria ya kupambana na kufichua siri za nchi kwenye mitandao wakati siri zenyewe ni kufichiana ufisadi na mahawara.

Jaribu said...

Me likes Dr Zero! Anakuwa kama villain wa sinema moja ya kutisha, tofauti ni kwamba hii ni halisi. Ningekuwa na hela ningemkanumba, "Dr Zero: From Msoga Without Love"

Hapo bila kusema mengi, umetoa picha ya jamaa in a nutshell. Si hataki watu wamtilie mchanga kitumbua chake?

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Jaribu acha hizo. UmKanumbe dr Zero mabaunsa wote hawa wakiwamo hata wengine ambao afya zao ni ugogoro kama Slva Rweyependekeza ambao wanamlinda kwa midomo badala ya magumi na ma-karate?

Jaribu said...

Kumkanumba yangu ni kumweka kwenye filamu kama Kanumba, mimi ni mshabiki wa amani na utulivu. Sina haja ya kumdhuru.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Sasa tumeelewana. Maana hakuna mantiki ya kumdhuru mtu ambaye ameishadhurika ingawa anaficha.