Tunahitaji wabunge 20 tuu wa namna hii. Kuanzia tutaondoa haya matongotongo yanayotusumbua na kuondoa vikwazo(Mh=mhalifu) vya kuendelea kichumi na kifikra pia
Anon, Usemayo ni kweli. Jamaa anamwaga pointi kuliko maprofesa uchwara kama Kapuya, Muongo, Maghembe, na madaktari wengine feki kama Nagu, Makongoro, Nchimbi na matapeli wengine
3 comments:
Tunahitaji wabunge 20 tuu wa namna hii. Kuanzia tutaondoa haya matongotongo yanayotusumbua na kuleta vikwazo vya kuendelea kichumi na kifikra pia
Tunahitaji wabunge 20 tuu wa namna hii. Kuanzia tutaondoa haya matongotongo yanayotusumbua na kuondoa vikwazo(Mh=mhalifu) vya kuendelea kichumi na kifikra pia
Anon,
Usemayo ni kweli. Jamaa anamwaga pointi kuliko maprofesa uchwara kama Kapuya, Muongo, Maghembe, na madaktari wengine feki kama Nagu, Makongoro, Nchimbi na matapeli wengine
Post a Comment