Picha hii tulipigwa na binti yetu Ndidziwa mwaka jana tukiwa sehemu sehemu .
By the way jana nilipata kitabu cha Mwl Nyerere cha Ujamaa: Essays on Socialism kitanisaidia kwenye mswada wa kiada ninaoufanyia kazi kuhusiana na kupigania uhuru wa kielimu na kiuchumi.
6 comments:
Umetisha comando safi sana
Anon nakushukuru kwa complements zako mkuu. Karibu tena.
Kula vyako halali Bravo Mwalimu..!
Anon nakushukuru. Huyo kweli ni halali yangu nami yake. Ndiyo raha ya kufuata maadili badala ya madili kama serikali ya jamaa yetu Kikwete. Sijui Rahma Kharoos wake ameishia wapi baada ya kumuandama hadi wakamficha?
Mnnetokezea mwenyewe ama kweli picha ya wiki..Huyo shangazi atakuwa mpiga picha mzuri sana!
Da wa mimi Yasinta asante kwa kutupa complements japo sijui maana ya kutokezea.
Post a Comment