The Chant of Savant

Tuesday 8 December 2015

AFRICA REUNITE or PERISH is out!

My new book Africa Reunite or Perish is on the tables now. I am happy to inform my readership that the book is ready for you to read and criticize shall there be any nuggets. Let me share my happiness with all of you for hugely achieve this milestone. This book is the most voluminous (470 pages) among my books. So, too, it is the only non-fictional and academic one. It is the newest up till now. Africa Reunite or Perish is the only book of mine that begged the courage of the mad to write due to the nature of the issues and personalities it touches on. Get your copy and enjoy without forgetting to offer me your nuggets on the same.

For more info about the book please click this link
http://www.amazon.com/Africa-Reunite-Perish-Nkwazi-Mhango/dp/9956763241/ref=sr_1_2?s=books&ie=UTF8&qid=1449599076&sr=1-2&keywords=langaa

4 comments:

Anonymous said...

Mwalimu Mhango,
Hongera na pongezi kwa kazi yako hii natarajia kukisoma karibuni.kinachonihuzunisha daima kwamba wengi wa wafrika hatuna utamaduni wa kujisomea na hili ni janga kubwa kwetu.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon nakushukuru sana kwa pongezi zako. Tunajitahidi kuchangia pale tunapoweza. Ni wajibu wetu kufanya hivyo japo ni wachache wanaofanya hivyo. Hili la kutosoma vitabu ni balaa jingine au tuseme janga kama ulivyosema. Watu wetu wengi wameendeza umbea, udaku na upuuzi mwingine kutokana na kuongozwa na watu wajinga wasiosoma wala kuandika. Nyerere alikuwa amejenga taifa lenye utamaduni wa kujielimisha na kuishi kwa juhudi na uadilifu. Baada ya kung'atuka wakaja vilaza na wezi na wauza unga tumefikishwa hapa. Sijui nani atatuondoa kwenye nakma hii.

Mbele said...

Ndugu Mhango

Hongera kwa kujituma, kuhenya, hadi kuchapisha kitabu. Si kazi rahisi, na ni muhimu tunaofahamu ugumu wake tusimame nawe bega kwa bega.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Ndugu Mbele,
Shukrani kwa kunitia moyo. Najua ukereketwa na mapenzi yako kwa vitabu ukiachia mbali kuwa u mwalimu na mtunzi. Tunajaribu kuchangia kwenye mjadala wa kitaaluma ambao umekuwa ukiendelea miaka mingi. Nashukuru kwa kuwa bega bega nami. Ubarikiwe.