Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Tuesday, 1 December 2015

Mlevi kuomba kukutana na rais

Baada ya kupiga kanywaji na tubangi kidogo kusherehekea ushindi wa ki-Tsunami wa Dk Kanywaji, nimepata wazo tena kubwa litakalosaidia kaya yetu. Ninapanga kuomba kukutana na Dk Kanywaji ili nimpe shule ya bure kuhusiana na utendaji wake na kipi afanye kuweza kufanikia. Kabla ya kusahau, kwanza, nampongeza Dk Kanywaji Makufuli kwa kuteua waziri mkuu toka nje ya mitandao ya kijambazi iliyotamalaki kwenye Chama Cha Maulaji (CCM). Baada ya kutoswa akina Makambale, Billy Lukuuvi, Mwiguu Michembe na walaji wengine na kuibuka na Kasitelephone Majaliwa, nilishehekea kama sina akili nzuri. Nani alitaka viraka na vibaraka wa utawala barakara uliopita? Nilisikia watu wakipiga domo kuwa njemba kama Lukuuvi anayetuhumiwa kughushi sifa za kisomi naye angeteuliwa. Mbona ningehamasisha walevi kuingia na kulala mitaani kuanzia ikulu hadi Kibaha. Hayo tuyaache.
Ngoja nijikite kwenye hoja. Nina sababu kibao za kutaka kukutana na lais Kanywaji.
Kwanza, nataka kumuonya aachane na tabia ya kuvamia maofisi akidhani wabangaizaji na wavivu watajirekebisha na kuchapa kazi. Je atatembelea ofisi ngapi kwenye kaya yenye utiriri wa wizara, mikoa, wilaya tena visivyo na tija kwa kaya?
Pili, namtaka abadili mfumo badala ya kungoja mfumo ujibadili au kumbadili. Ni simpo. Kama akitaka utendaji kazi uwe mzuri, awaite wa chini yake na kuwapa maagizo nao wawape wa chini yao hivyo hivyo hadi kwa mtu binafsi.
Tatu, unda serikali ndogo ya watu safi na wachapakazi uone mambo yatakavyokwenda. Badala ya kupoteza nguvu na muda kuvamia maofisi, wewe unda serikali ya hoja utaniambia. Pia katika kuunda serikali ndogo na chapakazi hakikisha makapi ya utawala habithi uliopita yanapigwa chini. Kuna damu mpya kwenye wigo wa kuteua mawaziri. Kama huwaoni nipige ofa ya gongo nikutajie kibao ninawajua na kuwaona.
Nne, chunguza mianya iliyokuwa ikitumia kuibia kaya. Mfano, angalia uchochoro wa wafanyakazi hewa, walioajiriwa kwa kujuana tunaowajua waliojazana kwenye balozi zetu, mahakama, kwenye bodi za ulaji za mashirika. Fanya kama ulivyochachafya Muhimbili.
Tano, jenga utaratibu wa wakuu wa vitengo, idara na wizara kutoa taarifa za kila mwezi za utendaji wa kazi wa maeneo yao baada ya kuanzisha utaratibu mwingine wa kuweka malengo ya muda mfupi na mrefu wa utendaji kwenye maeneo husika.
Sita, rekebisha mishahara huku zikitungwa sheria za kuwataka wafanyakazi wa umma kutangaza mali zao. Uanze wewe na bi mkubwa wako ndiposa wengine wafuate bila kuangalia nyani usoni. Wahenga walinena kuwa hisani huanzia nyumbani na jogoo aliwafundisha vifaranga kunya ndani.
Saba, Anza kutekeleza ahadi lukuki ulizotoa huku ukijikita kwenye vipaumbele ambavyo napendekeza iwe ni katiba mpya, kupambana na ufisadi, kurekebisha mikataba ya kijambazi ya uwekezaji ambao walevi wanaona ni kama uchukuaji na si uwekezaji na kufufua wizara ya Elimu kwa kufutilia mbali utaratibu wa sasa wa kizembe uliopunguza vitabu kwa ajili ya wanafuzi.
Nane, mulika sheria na utaratibu wa manunuzi wa vifaa vya umma. Huko ndiko ulaji uliopo ambapo wezi wenye madaraka huunda makampuni ya kuyapa tenda za usambazaji serikalini. Rejea kilichotokea kwenye TANESCO ambapo bosi wa zamani alikuwa akimpa tenda bi mkubwa wake na kulipwa kwa huduma mbovu au bila hata huduma.
Tisa, bana matumizi ya lisirikali. Kama ulivyopiga marufuku matanuzi ughaibuni, hakikisha unazuia manunuzi ya samani feki toka ughaibuni, ununuzi na matumizi ya mashangingi na hata ununuzi wa mafuta kwa magari ya serikali.
Naona kanywaji kameisha mezani. Acha nimuite muuza aniwekee vitu nifikiri jinsi ya kukusaidia kuwatawala wadanganyika wavivu na wasanii.
Chanzo: Nipashe Nov., 26, 2015.
Posted by Ndugu Nkwazi N Mhango at 15:51

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Cordially and unlimitedly welcome to this blog.


Writing and reading are two different processes but which share the same goal-to educate, communicate and entertain.
It is my pleasure to have you as the guest of this tablet.
I, thus, warmly and always, welcome you to share ideas.
Importantly and eminently, shall there be anything amiss or you think can advance this blog, please donate it.
Allow me to humbly and kindly welcome you once again.
Nkwazi N Mhango- A Man And a Half

When wisdom brings no profit, to be wise is to suffer. Not all thoughts are good and constructive. Others are even worse than bullets. The good thinkers are the ones that think constructively for the manumission of all bin-Adams regardless their diversity. Mwl. Nkwazi N Mhango,
Canada.


I Love My Country Tanzania

I Love My Country Tanzania

The Curse of Salvation

The Curse of Salvation

Gen Z and Internet Revolution

Gen Z and Internet Revolution

I Cry for Ambazonia and Darfur

I Cry for Ambazonia and Darfur

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

The Story of Stories

The Story of Stories

The Chant of Savant

The Chant of Savant

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

Epistle to Afrophobic South Africa

Epistle to Afrophobic South Africa

Magufulification

Magufulification

BORN NUDE

BORN NUDE

Total Pageviews

Heko Rais Magufuli

Heko Rais Magufuli

DECOLONISING EDUCATION

DECOLONISING EDUCATION

Kudos President Magufuli

Kudos President Magufuli

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

The Family Friend of Animals

The Family Friend of Animals
Children's Book

Matembezi Mbuga ya Wanyama

Matembezi Mbuga ya Wanyama
Kitabu cha Watoto

Our Heritage

Our Heritage
Children's Book

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

Perpetual Search

Perpetual Search

Africa's Best and Worst Presidents

Africa's Best and Worst Presidents

Psalm of the Oppressed

Psalm of the Oppressed
Psalm of the Oppressed

AFRICA REUNITE or PERISH

AFRICA REUNITE or PERISH
A new approach towards empowering Africa

BORN WITH VOICE

BORN WITH VOICE

Soul on Sale

Soul on Sale

Soul on Sale

Nyuma ya Pazia

Nyuma ya Pazia

We are one

We are one

SAA YA UKOMBOZI

SAA YA UKOMBOZI

Feel at home

You are always welcome to this epistle again and again time after time, ad infinitum.


Most read Posts

  • Sarkozy’s Take on African Fat Cats a Welcome Move
    At last the chicken are coming home to roost! French authorities made a groundbreaking decision by culling three most corrupt African presid...
  • Napanga kuanza kuuza mitumba na si maneno
    Ingawa mimi si mtumba, napanga kuuza mitumba. Nimechoshwa na jamii ya mitumba. Kila kitu mitumba. Mitumba, mitumba mitupu. Siasa za mitumba...
  • Better or Bitter Life for all?
    When I deeply muse on how an arrogant and brutal cabal of hoity toity (Coverted Con Men (CCM)) is tirelessly hoodwinking and dividing the ho...
  • Africa's Becoming more Despotic and Nepotistic
    "King of Kings" Gaddaffi The seven-day 40th anniversary of Libya strongman’s autocratic rule and charade elections in Gabon where...
  • Kuna siku tutataifisha haya mahekalu haki ya nani
    Taarifa kuwa waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige alinunua nyumba kwa zaidi ya shilingi bilioni moja licha ya kuwastua wananchi na...
  • Nyangumi mdogo akutwa amekufa ufukweni BC
    Hii ni picha iliyotolewa ya Nyangumi aina ya Humpback ambaye alikumbwa na maji na kutupwa kwenye ufukwe wa bahari ya Pasifiki kwenye eneo l...
  • Kikwete, Charity Begins at Home!
    President Jakaya Kikwete Pea...
  • Kweli binadamu si chochote wala lolote, wamkumbuka huyu?
    Walioko madarakani mkiabudiwa kama miungu au sanamu kumbukeni vijana hawa hata baba zao  ambao maiti zao zinaoza jangwani. Ungewaambia...
  • Pinda kulia hakutoshi, awajibike
    INGAWA kilio cha Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda, kinaonekana kuyeyusha hasira za Watanzania kwa muda, kuna haja ya kudodosa zaidi....
  • Hawa si wachungaji bali ni fisi na mbwa mwitu
    KUMEZUKA mtindo mchafu na wa rejareja wa baadhi ya wachumia tumbo na matapeli kumtania hata kumtumia Mwenyezi Mungu kufanya utapeli na ujamb...

Followers

Blog Archive

  • ►  2025 (42)
    • ►  July (6)
    • ►  June (7)
    • ►  May (5)
    • ►  April (4)
    • ►  March (6)
    • ►  February (8)
    • ►  January (6)
  • ►  2024 (92)
    • ►  December (7)
    • ►  November (4)
    • ►  October (11)
    • ►  September (9)
    • ►  August (7)
    • ►  July (9)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (7)
    • ►  March (6)
    • ►  February (7)
    • ►  January (8)
  • ►  2023 (118)
    • ►  December (10)
    • ►  November (10)
    • ►  October (9)
    • ►  September (2)
    • ►  August (4)
    • ►  July (6)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (18)
    • ►  March (13)
    • ►  February (9)
    • ►  January (20)
  • ►  2022 (208)
    • ►  December (14)
    • ►  November (14)
    • ►  October (20)
    • ►  September (20)
    • ►  August (12)
    • ►  July (25)
    • ►  June (22)
    • ►  May (18)
    • ►  April (13)
    • ►  March (18)
    • ►  February (18)
    • ►  January (14)
  • ►  2021 (323)
    • ►  December (23)
    • ►  November (34)
    • ►  October (26)
    • ►  September (13)
    • ►  August (19)
    • ►  July (21)
    • ►  June (29)
    • ►  May (25)
    • ►  April (23)
    • ►  March (43)
    • ►  February (29)
    • ►  January (38)
  • ►  2020 (290)
    • ►  December (33)
    • ►  November (37)
    • ►  October (28)
    • ►  September (35)
    • ►  August (31)
    • ►  July (26)
    • ►  June (17)
    • ►  May (21)
    • ►  April (18)
    • ►  March (15)
    • ►  February (17)
    • ►  January (12)
  • ►  2019 (160)
    • ►  December (8)
    • ►  November (7)
    • ►  October (12)
    • ►  September (9)
    • ►  August (27)
    • ►  July (18)
    • ►  June (18)
    • ►  May (11)
    • ►  April (11)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (14)
  • ►  2018 (162)
    • ►  December (12)
    • ►  November (6)
    • ►  October (13)
    • ►  September (10)
    • ►  August (20)
    • ►  July (9)
    • ►  June (14)
    • ►  May (9)
    • ►  April (16)
    • ►  March (21)
    • ►  February (17)
    • ►  January (15)
  • ►  2017 (306)
    • ►  December (20)
    • ►  November (23)
    • ►  October (20)
    • ►  September (26)
    • ►  August (31)
    • ►  July (31)
    • ►  June (34)
    • ►  May (26)
    • ►  April (24)
    • ►  March (20)
    • ►  February (28)
    • ►  January (23)
  • ►  2016 (269)
    • ►  December (22)
    • ►  November (21)
    • ►  October (22)
    • ►  September (15)
    • ►  August (12)
    • ►  July (27)
    • ►  June (24)
    • ►  May (23)
    • ►  April (29)
    • ►  March (26)
    • ►  February (27)
    • ►  January (21)
  • ▼  2015 (399)
    • ▼  December (34)
      • Kijiwe chastukia wanaojitia kuombea kaya
      • Magufuli amefika wakati muafaka ila anahitaji nguv...
      • Dr. Magufuli, relieve us of Makondas
      • Wachungaji wachunaji wamulikwe
      • Mlevi kushitaki sirikali The Hague
      • Burundi: Cry Beloved Country
      • Wanakijiwe walaani kubomolewa mijengo yao
      • If you believe Africa is the poorest continent thi...
      • I propose the magufulification of the new constitu...
      • Mkurugenzi wa Tanesco naye aachie ngazi
      • Mlevi aunda baraza lake la mawaziri mbadala
      • Rais Magufuli tunusuru na akina Makonda tafadhali
      • Are Mayardit and Machar waiting for indictment?
      • Kijiwe chajadili uteuzi wa Muongo
      • Do they look good really?
      • New Cabinet: Escrew will screw us even more
      • Motisha na kuzawadia wafichua uovu
      • Mlevi kuomba kukutana na rais
      • Kiquete kuingia na EPA kutoka na Escrow
      • Nimeipenda hii japo Kikwete, Muhongo na Escrow hawamo
      • Mwl Nyerere na mke wa Kaisari
      • AFRICA REUNITE or PERISH is out!
      • Unifying Africa: Lesson from the 2015 Sino-Africa ...
      • Kijiwe chaunda BEEP na kukosoa uamuzi wa Dk Kanywaji
      • Akina Makonda waache uhuni na kuvunja sheria
      • My poem appears in Poetry Nation!
      • How do you find this?
      • Mother Africa deserves this very song
      • Hello John Pombe Magufuli
      • Born With Voice
      • Africa should brace for Eco-imperialism
      • Kijiwe chajivunia uanachama wa Majaaliwa
      • Fighting Corruption pragmatically
      • Mlevi kuomba kukutana na rais
    • ►  November (24)
    • ►  October (22)
    • ►  September (34)
    • ►  August (29)
    • ►  July (37)
    • ►  June (22)
    • ►  May (32)
    • ►  April (35)
    • ►  March (46)
    • ►  February (47)
    • ►  January (37)
  • ►  2014 (502)
    • ►  December (47)
    • ►  November (49)
    • ►  October (47)
    • ►  September (37)
    • ►  August (40)
    • ►  July (42)
    • ►  June (30)
    • ►  May (35)
    • ►  April (47)
    • ►  March (44)
    • ►  February (39)
    • ►  January (45)
  • ►  2013 (399)
    • ►  December (37)
    • ►  November (27)
    • ►  October (31)
    • ►  September (26)
    • ►  August (33)
    • ►  July (39)
    • ►  June (28)
    • ►  May (40)
    • ►  April (44)
    • ►  March (39)
    • ►  February (26)
    • ►  January (29)
  • ►  2012 (597)
    • ►  December (27)
    • ►  November (26)
    • ►  October (27)
    • ►  September (30)
    • ►  August (47)
    • ►  July (94)
    • ►  June (86)
    • ►  May (119)
    • ►  April (83)
    • ►  March (23)
    • ►  February (17)
    • ►  January (18)
  • ►  2011 (261)
    • ►  December (20)
    • ►  November (19)
    • ►  October (20)
    • ►  September (21)
    • ►  August (27)
    • ►  July (12)
    • ►  June (15)
    • ►  May (20)
    • ►  April (27)
    • ►  March (32)
    • ►  February (24)
    • ►  January (24)
  • ►  2010 (205)
    • ►  December (25)
    • ►  November (23)
    • ►  October (23)
    • ►  September (23)
    • ►  August (17)
    • ►  July (13)
    • ►  June (12)
    • ►  May (10)
    • ►  April (18)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (16)
  • ►  2009 (163)
    • ►  December (19)
    • ►  November (14)
    • ►  October (11)
    • ►  September (6)
    • ►  August (12)
    • ►  July (9)
    • ►  June (11)
    • ►  May (20)
    • ►  April (22)
    • ►  March (14)
    • ►  February (12)
    • ►  January (13)
  • ►  2008 (191)
    • ►  December (12)
    • ►  November (11)
    • ►  October (14)
    • ►  September (15)
    • ►  August (16)
    • ►  July (23)
    • ►  June (10)
    • ►  May (19)
    • ►  April (16)
    • ►  March (19)
    • ►  February (17)
    • ►  January (19)
  • ►  2007 (33)
    • ►  December (13)
    • ►  November (20)

About Me

My photo
View my complete profile

Travel theme. Powered by Blogger.