Wabunge wanaojua wajibu wao
Hong Kong inasifika kwa wabunge wake kuzichapa. Hivi karibuni walilianzisha tena kwa kuchapana wakigombea maslahi ya wananchi wao. Laiti nasi tungekuwa na wabunge kama hawa wenye uchungu na wale wanaowawakilisha! Sijui wabunge wetu ambao wanasifika kwa kuwakilisha matumbo yao na vyama vyao wakisoma vitu kama hivi wanajisikiaje? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
No comments:
Post a Comment