How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Thursday, 29 August 2013

Vasco da Gama yuko Austria kula mikuku wakati sisi tunasota!

IMG 0041 e8f9e

2 comments:

Anonymous said...

Kweli mzaha kando! hivi huko ulaya kuna baridi sasa au ni kipupwe cha ndani ya JetStream yetu kimemfanya Vasco ajijaladie hivyo? Kwa vyovyote vile, piga raha baba........

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon hapo juu swali lako la msingi. Hakuna cha baridi bali uswahili wa kawaida tu. Ulitegemea nini toka kwa mtu anayeandamana na ujumbe mkubwa wa walaji wa hovyo? Kwake kila kitu ni sherehe. Amekimbia sekeseke la unga ambalo anahusishwa kutokana na kuogopa kuwakamata wenzake. Ni juzi tu nimesikia toka kwa kihiyo Lukuvi kuwa kumbe mawaziri na wabunge wamo. Kama ni hivyo rais atashindwaje kuwamo? Nadhani tumepata jibu la kwanini hataki kushughulikia Maunga.