Inakuwaje kufungua mashtaka kwa ajili ya Yesu ukashindwa kufungua kwa ajili ya nduguzo?
Mwanasheria mmoja nchini Kenya ameacha watu vinywa wazi. Haijulikani kama ni mzima au mgonjwa wa akili au mtafuta sifa wa kawaida. Mwanasheria amefungua kesi kwenye mahakama ya Kimataifa ya Jinai akidai Israel na mataifa mengine yawajiishwe kwa kumhukumu Yesu kinyume cha sheria. Wengi licha ya kushagaa wameona huu kama unafiki. Tutashitaki wangapi kama tutarudisha sheria nyuma? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
No comments:
Post a Comment