How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Tuesday, 1 July 2014
Angalia watawala vibaka wanavyoondoka madarakani
Pamoja na kuiba kwa miaka yote waliyokuwa madarakani, bado watawala wezi na waramba viatu wao wana mshipa wa kuiba mabilioni kama ilivyotokea juzi kwenye fuko la Escrow na ujambazi mwingine kama vile unyakuaji wa UDA chini ya mtoto wa kigogo mkuu mmoja nchini ukiachia mbali wake zao nao kuendelea kuiba kwa kasi wakijua fika kuwa NGO zao za kusaka ngawira hazitakuwa na wachangiaji baada ya waume zao vibaka kuondoka madarakani. Hakika hili nalo ni janga la kitaifa. Wanaiba fedha ya umma na kuhakikisha wanawarithisha ulaji vitegemezi vyao kama ilivyotokea hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment