How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Tuesday, 15 July 2014
Kikwete: Msanii anayependa wasanii kuliko wapiga kura
Baba wa taifa Marehem Mwalimu Julious Nyerere alipomkataa Jakaya Kikwete akisema hakuwa amekomaa kuwa rais wa Tanzania wengi walidhani kuwa angekua. Ni bahati mbaya kuwa Kikwete alikataa kukua akaendelea na utoto na uhovyo tangia pale hadi alipoingia madarakani. Na hakika, ataondoka na utoto na uhovyo wake. Hapo juu anaonekana akipiga picha ya pamoja na wasanii toka Marekani. Wenye akili wanajiuliza: Kama rais atakutana na hao wasanii na waziri husika atafanya kazi gani? Je anapata wapi muda kukutana na watu wasio wa hadhi yake? Je anatumia itifaki ipi kufanya haya mauza uza? Hakika Kikwete ni msanii anayependa wasanii wenzake kuliko wapiga kura.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Fuck sura havinunuliki
Tunataka busara na weledi
Ikulu ya tanzania imekuwa Kama geto
Hata mateja wanajali kwa ikulu Toba
Nyerere alisema ikulu ni mahali patakatifu
Means tuheshimu dola
Leo hii kuna Watu wanamwita First Lady shemeji
Toba
Ole wenu 2015 mwisho wenu
Japokuwa kizee Sita kibaraka wa CCM anataka kupinda sheria Chonde Chonde mtatujuwa Watanzania bila UKAWA hakuna katiba, hata uchaguzi 2015 tunataka tume huru ya uchaguzi tunataka
Kila chama ki we na mjumbe then wao wachague mwenyekiti that's fair
Post a Comment