How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Tuesday, 22 July 2014

Kumbe mzee Pinda mhuni!

Sijui kwa umri na hadhi yake kama aina hii ya salamu inamfaa. Nakumbuka mhuni mwingine aliyekuwa rais aliyezoea kuwaamkia watu mambo asijue ndiyo uvivu wa  kufikiri wenyewe. Sikujua kuwa kumbe tunaendelea kutawaliwa na wahuni walioamua kutelekeza itifaki na maadili na kuingiza uhuni na madili.

20 comments:

Anonymous said...

Kimpya kingi kina kishindo
Tuna najuwa mengi ya pinda tangu chuo cha Sanaa Bagamoyo hadi mke mpya na hata waliomukweka madarakani yetu macho
Lakini safari za uk na SA zinatija gani kwa Tanzania ?

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon mwaga kila mtu ajionee. Huu ndiyo uwanja wenyewe. Tafadhali usiogope.

Anonymous said...

Napenda blog yako I font care Kama vibaka gosh au wapambe wa Tanzania wana angalia IP Adress zetu
Kwani hata tukipenda bongo tuna pasi za ulaya hawatuulimboki NGO

Anonymous said...

Tunasema yote ya bongo
Na wakatuletea Watanzania wanapenda maendeleo ya tanzaniawo ikulu , usalama wa taifa , polisi , jwtz, na raia
Tutasema mengi ikifka uchaguzi Mwakani hasa kwa mgombea wa CCM

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon usemayo ni kweli. Kama wote tutaongopa kuKolimbwa nani ataitetea Bongo yetu? Huu ni uwanja wa wasio na sauti kusemea watakavyo bila kubanwa.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon usemayo ni kweli. Kama wote tutaongopa kuKolimbwa nani ataitetea Bongo yetu? Huu ni uwanja wa wasio na sauti kusemea watakavyo bila kubanwa.

Anonymous said...

Wamemchagua pinda waziri mkuu kuficha kombe kwa ajili ya afya yake ndo maana Hana maneno pamoja na aliyemchaguwa wote njia moja
Ndo Hawana midomo kwa mafisadi wanachaguliwa Watu kazi Yao kupitisha tu
Ndo maana hata watoto Kama Riziwani anateulwa Watu ikulu inapitisha
Ukitaka cheo bongo muone Riziwani kesho u Dc au Rc

Kesho story ya RC wa pwani Mwatumu Mahiza

Anonymous said...

Sofia simba,
Na wengine wengi
Tu natafuta data saa hizi

Anonymous said...

Chakuanzia tu
waziri simba , alidiliki na kukili mbele ya vyombo vya habari akitembea na mume wa mtu mzee kitwana Kondo na akazaa naye mtoto kweli CCM nampa madaraka mtu Kama Kama huyu mwizi kwa waume za Watu anawezaje ku uongozi wizara ya kina mama
Mwatumu vile vile alikuwa bibi wa mungai wakati anafundisha shule ya uhuru mchanganyiko na mungai enzi alimununulia dildo mwatumu asimbee na wanaume wengine cv yake ina uongo
Alipokuwa naibu waziri wa elimu

Anonymous said...

Wanawake waliopata madaraka tangu awamu
Ya pili wengi wao walitembea na mzee kitwana Kondo
Kisha hisani yake aliyotenda kwa mzee rukhusa alipojiuuzulu u waziri kashfa ya mauaji ya Shinyanga na mwanza
Wengi wao ni sifuri Kabisa

Anonymous said...

Huyu mwatumu mahiza alikuwa bibi wa mungai wakati huo mungai waziri wa elimu
Mahiza alikwenda Norwary kwa summer school only 2 month kwe cv yake alipokuwa naibu waziri tena ya elimu
Aliandika ana diploma ya elimu
Jamani diploma gani duniani inapatikana kwa miezi miwili
CCM vilaza wengi

Anonymous said...

Dr Mary Nagu dr wa chuo gani
Amezaa na Sumaye rais mtarajiwa huyo mtoto ukimuona photo copy ya sumaye
Kweli sumaye anafaa Kuwa rais iwapo hakuridhika na tendo la ndoa na mkewe na kuzaa nje ya ndoa akipewa urais wake zetu wamekwisha jamani na gonjwa hili

Anonymous said...

Mwingine mvaa shungi sura Hana wala shepu
Waziri tukamisemi hawa bin ghasia
Na kweli ghasia
Ana mdomo na nyodo
Kisa jakaya shemeji yake
Anatukana Watu bungeni kana kwamba yeye ndo mungu

Anonymous said...

Makubwa hayo!!!!!!!!!!!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon hapo juu michango yenu ni ya maana sana ila jaribuni kwenda ndani na kutoa ushahidi katika yale tunayoongelea. Taratibu tutafika. Huu ni mwanzo mzuri. Kwani yapo mengi ya kujifunza.

Anonymous said...

Simeni yote tujuwe kwani Mwakani uchaguzi
Na hapa ndo kwenyewe hakuna mchujo
Hapa ni ukweli na uwazi
Watafungia magazeti ya Tanzania lakini NGO hawawezi
Mpayukaji it's no one and it's for Tanzanian benefit

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon nashukuru kwa kunitia moyo. Ni kweli hawawezi kunifungia zaidi ya kujaribu kunihujumu kwa kutuma virusi. Endeleeni kumwaga data hapa ziko salama na zinatoka bila kuguswa wala kuchakachuliwa kama yale mablog ya vibaraka na waramba matako ya CCM.

Anonymous said...

Tutasema yote mshikaji
Nilisoma kwenye mtandao rais anasema kuna Watu wa naandika only mabaya ya Tanzania
Cha kushangaza. Hata waandishi wake wa habari hawakwenda shule wengine Walikuwa Wiiga Picha eti Leo mwandishi wa rais AMA kweli Msata hiyo

Anonymous said...

Mkitaka kujua Siri ipo London kuna shoga kanunuliwa nyumba na kigogo wa serikali shoga huyo anatamba London nzima wanajuwa
Kesho ntaanika hadi house street even no

Anonymous said...

Anon Tisa kumi
Huyu
Hawa bin ghasi kweli shombo bungeni hadi ofisini hatumpendi ofisini ukivaa nguo nzuri kwa sisi wanawake husema siyo heshima
Yeye shungi lake na nguo mpk miguuni anafisha kasoro
Mwanamke simpendi huyu tangu kaja wizarani hatuna raha
Ana nini kijimaster cha mzumbe kisa jk shemeji yake yote yanamwisho wewe hawa