Waziri mkuu Mizengo Pinda akifurahi na wasanii |
Rais Kikwete akiwasili kwenye makazi ya Pinda |
Wala pilau wakiswali baada ya futari aliyoandaa Pinda. |
Waziri mkuu Mizengo Pinda akifurahi na wasanii waliokuja kula futari kwake ambayo ilihudhriwa pia na shehe mkuu mufti Shabaan Simba na rais Jakaya Kikwete. Pinda amesaidia kufumbua kitendawili kuwa hizi futari tunazoona si futari chochote bali usanii. Futari gani inaandaliwa na mtu asiye wa dini ile? Mbona huko nyuma hatukuwahi kuyaona haya au uislam nao umebadilika?
6 comments:
Jamani Toba Toba
Na swala hapo
Lowassa fanya kweli nawe siku ya idd
Maanake itakuwa rukhusa hata vilevi
Utatupata wengi tunywe tucheke rais wetu mtarajiwa
Kama utaka urais shurti futarisha
Anon mnafurahisha. Toba eti? Hili la Lowassa kufuturisha akatoa na kanywaji limeniacha hoi. Jamani tuache masihara na funga hata kama hawa wahuni wameamua kuigeuza sanaa za kutafutia ulaji na umaarufu kisiasa. Isifikie mahali na vyangudoa nao wakatumia pesa ya kuuza miili yao kutuandalia futari. Sofia Lion upo hapo?
Party ya Lowassa haina kadi , mguu wako tu
Misikiti hakuna
Msitushie imani zetu kwa uhoro wenu wa madaraka na kujipendekeza
Anon usemayo ni kweli. Ni kama aina fulani ya ushenzi na ufisadi unaoingizwa kwenye dini.
Post a Comment