Aliyeghushi vyetu kuanzisha mfuko wa Elimu!
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji anayedaiwa kughushi shahada ya Udaktari Deodorus Kamala akitangaza kuanzisha mfuko wa kuwazawadia wanafunzi wenye vipaji. Watawala wetu kwa unafiki hakuna mfano. Je hii pesa siyo ya escrow iliyosambazwa na James Rugemalayer? Kama anaipenda elimu kwanini alighushi? Je ni unafiki kiasi gani?
3 comments:
Utaratibu wetu ni mazingaombwe hivyo watu maigizio, vilaza na wanafiki ndiyo wanatuwakilisha katika mambo yakurudisha maendeleo nyuma....!
kwa sababu tunachaugua vilaza ndiyo tatizo letu
Anon hapo juu mmenena. Tuna utaratibu mbovu ambapo tunaibiwa hata na vilaza kana kwamba sisi ni hamnazo!
Post a Comment