How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Saturday, 31 January 2015
Vasco da Gama anapokula buku!
Jamaa anasoma au mkwara na kutaka apigwe picha? Kwa wanaomjua huyu jamaa, hakuna kitu asichopenda kama kusoma. Hata kabla ya kuwa rais alisifika kwenda kwenye kumbi za muziki na mambo mengine kama hayo. Alijua kukaa kwenye vijiwe vya mpira na kusogoa zaidi ya kujisomea hata kujiendeleza. Ukitaka kujua hofu inatoka wapi, jiulize swali rahisi. Mbona walio karibu naye wote hakuna anayesoma isipokuwa yeye? Kitu kingine, angalia wingi wa walaji alioandamana nao. Hao ni wale wanaoweza kupewa viti. Bado wapiga picha uchwara na wasaka sifa ambao wamegeuka fisi wasiobanduka kila alipo simba. Fedha ya umma inafujwa kwenye upuuzi kama huu kila uchao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment