Ridhiwani Kikwete mbunge wa Chalinze akigawa ndizi kijini Kwa Msanja |
Pamoja na kwamba wakazi wa vijiji wana njaa, kama inavyoonyesha, kuwapa watoto ndizi ni hongo ya kipuuzi. Je ndizi za siku moja zitaondoa njaa ya siku zote ukiachia mbali ujinga wa kudumu?
No comments:
Post a Comment