The Chant of Savant

Friday 19 March 2021

KARIBU NA HONGERA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Hongera kwa nafasi mpya uliyoaminiwa na taifa na pole kwa zigo zito kichwani na mabegani. Mzigo uliotwishwa ni mzigo. Naamini hukuuomba wala kuutegemea. Hata hivyo, binadamu hupanga na Mungu hupangua. Mungu akutie nguvu na kukujaza hekima na subra utuvushe na kutufikisha alipopanga kutufikia marehemu. Aaamini.

No comments: