Mkono wa Idd unapogeuka rushwa ya Idd!
Pichani ni mbunge wa Temeke (CCM) Abass Mtemvu akitoa box lenye zawadi za vikombe, vijiko. chupa ya chai na upuuzi mwingine kama mkono wa Idd. Unajiuliza, zawadi gani ina picha ya rais kama siyo rushwa ya Idd? Hata ukiangalia kinachoitwa zawadi ni udhalilishaji na umaskini mtupu. Viongozi wetu na wanasiasa wataacha lini kutukana dini kwa kuzitumia kisiasa?
6 comments:
Duh kaaazi kwelikweli!!
Nimeiona ndugu wangu!
D Yacinta kazi kweli kweli. Umeiona hiyo?
Zawadi zimetolewa na mbunge mtemvu au kikwete
Mbona mambo bongo poleni
Zawadi zimetolewa na mbunge mtemvu au kikwete
Mbona mambo bongo poleni
Anon hata nami nilishangaa upuuzi huu. Matapeli watupu!
Post a Comment