Anon rais si Mungu wala nini. Hivyo anahojiwa na hata kukaripiwa na kuzuiliwa kama wabunge wetu wataacha kujikomba na kujishushia hadhi ukiachia mbali kujiruhusu kutumika vibaya.
Mwalimu NN Mhango, Sasa huyu Warehema na Makenda watakuwa wapi ili tusema ukweli Bungeni.Bila ya haya hawa wawili watasema hoo mmbunge tumbili ama watasema alikuwa kikaoni na sisi kwenye kijijiwe chetu cha walevi
Anon, unabii wetu walevi umetimia kuwa tunafaa kuongoza kaya kuliko wao walevi wa maulaji kiasi cha wanasheria kujigeuza wanashari. Ubarikiwe sana kwa falsafa yako pevu mwanakwetu.
4 comments:
Kwani rais ni mungu asihojiwe

Post a Comment