Hatimaye Zitto atoka kabatini kuonyesha ndoa yake na CCM
Hayawi hayawi huwa! Lisemwalo lipo kama halipo laja. Zitto Kabwe aliyekuwa Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA ameanza kuonyesha sura yake halisi akidhihirisha kile alichotuhumiwa kutaka kukifanya, kusaliti chama chake. Kwani huku kwenye Bunge la Katiba Mpya ameonyesha kuwa kitanda kimoja na CCM katika kutaka kubaka demokrasia kwa kudai kura ya wazi. Wengi wanajiuliza: Kwanini kura ya wazi kwenye Katiba mpya na si kwenye urais, ubunge, udiwani hata kupitisha miswaada kama siyo CCM na vibaraka wake kuishiwa? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
4 comments:
Oops hongera chadema fukuza kibaraka huyu
Asiyejua kunyonga wala kuchinga
A nini hata girlfriend Hana kulikoni
Mzee Mhango, kwanini umewekea picha ya Kikwete na Zitto sambamba na ya huyo bi mkubwa wa shilingi 900?
Anon hapo juu, nadhani CHADEMA wamesikia. Anon wa pili ni kwamba, kwa maoni yangu, kwa dhamana na hadhi aliyokuwa amepewa, Zitto ni rahisi kwa bei kuliko hata huyu bi mkubwa chini. Hata hivyoi, ni coincidence kuwa nimeweka hawa "mabibi" karibu karibu.
kuna mtu amechekesha leo anasema "wanasiasa ni kama shahawa, mmoja kati ya milioni ndiyo huwa bin-adam wa kweli". si maneno yangu, lakini ninaamini sasa
Post a Comment