Hivi ni watawala wangapi wa kiafrika wanakumbuka na kuhofia yaliyompata Muamar Gaddafi hata Saddam Hussein? Kipigo cha rais wa muda wa Mali kimenikumbusha wahanga hawa. Naomba radhi kwa wasomaji wangu kutokana na picha hizi kutisha. Lakini zinasaidia kukumbuka kutokana na utishaji wake.
No comments:
Post a Comment