Kwa mzazi yeyote picha hii inatisha. kusikitisha na kuchosha. Lakini ndiyo ukweli yanatokea hapa hapa duniani. Sijui tunaelekea wapi. Wakati wengine wanakesha wakiomba watoto, wengine wanawanyanyasa kama huyo hapo.
1 comment:
Anonymous
said...
Hivo usomi wote huo hujaweza kugundua kuwa hiyo ni photo shop
1 comment:
Hivo usomi wote huo
hujaweza kugundua kuwa hiyo ni photo shop
Post a Comment