The Chant of Savant

Sunday 6 May 2012

Whafidhina wa kiislam waharibu makubusho ya Timbuktu


The Djingareyber mosque is one of the cultural sites protected by Unesco in Timbuktu, Mali (file photo)

Stockbyte


Kwa wale waliosoma historia wanajua umuhimu wa mji wa Timbuktu huko Mali hasa majengo ya makumbusho ya zamani sana. Taarifa zilizotufikia ni kwamba wahafidhina wa kiislam wameharibu majengo hayo pichani jambo ambalo ni pigo kwa historia ya Afrika. Kinachoshangaza ni ukweli kuwa hayo majengo si kumbukumbu ya Afrika tu bali ya uislam! Je hawa ni waislam wa aina gani? Tunapata shida hata ya kujua mipaka baina ya waislam wa namna hii na makafiri hata kama wanashahidilia Ashhādu ʿan lā ʾilāha ʾillaʾllāh wa ashhādu ʿan Muh̩ammad ras̩ūl Allāh. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA TAFADHALI.

No comments: