The Chant of Savant

Tuesday 8 May 2012

Mambo Libya si kama mapinduzi yalivyodhaniwa!


Waziri mkuu wa Libya al Keib pichani.
Habari kuwa ofisi ya waziri mkuu wa Libya Abdurrahim al-Keib imevamia na hajulikani aliko ni pigo kwa serikali mpya NTC. Je tatizo ni nini? Tatizo ni kuchukua madaraka bila kuwa na maandalizi au tamaa ya wale waliokuwa na Muamar Gaddafi wakamgeuka? Je tatizo ni ukale wa mfumo ulioachwa na Gaddafi au ni umma kuanza kugundua kuwa kumbe wanasiasa si watu wa kuamini kama ilivyotokea Misri ambapo mapinduzi yametekwa na jeshi na mabaki ya Hosni Mubarak sawa na Libya? Kwa habari za kina BONYEZA HAPA.

No comments: