The Chant of Savant

Friday 18 May 2012

Wabunge wanavyopokwenda jandoni kuepuka miwaya!


Taarifa tulizo nazo ni kwamba wabunge nchini Zimbabwe watakwenda jando kwa makumi ili kuhamasisha wapiga kura wao kwenda jando. Hatua hii imefikiwa baada ya tafiti nyingi kuonyesha kuwa watu waliokwenda jando wana uwezekano kidogo wa  kupata miwaya ikilinganishwa na wale ambao bado hawajafanya hivyo. Hivyo, njia mojawapo ya kuhamasisha kupambana na kujikinga na miwaya nchini ni Zimbabwe ni kwa waheshimiwa kuachana na  utamaduni wa kukwepa kwenda jando. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: