The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Friday, 4 May 2012

Wazazi tahadharini picha kama hii


Ingawa ni jambo jema kuwa na uhodari wa kufanya mambo kama vile kutembea kwenye moto, pia ni hatari vitu kama hivi wakionyeshwa watoto wachanga. Hivyo kuna haja ya wazazi kuwa makini na picha wanazoona watoto wao.

No comments: