The Chant of Savant

Sunday 20 May 2012

Mrembo huyu unamuonaje?


Picha kwa hisani na Mbele Blog.
Tukubaliane Bi Mkubwa huyu ni mnene. Sijui kama anaweza kupata kivazi cha chini mtaa wa Congo. Hata hivyo bado anapendeza na usishangae watu wakapigana vikumbo kuwania waoe. Mwanamke nyama walisema waswahili lakini nyama nazo zikizidi mh! Picha hii imenivutia kiasi cha kuona niiweke hapa angalau wageni mjadili kama mkitaka au hata kujionea.

10 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! kaazi kwelikweli kuna wakati huwa najiona ni mnenne na nataka kupungua lakini kwa kuiangalia picha hii najiona kama fimbo tu..

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

We dada we usimfuatishie huyo siyo saizi yako. Kama ukijipima na huyo basi utakula mijunk ujikute unashindana naye. Otherwise dunia ina changamoto nyingi so to speak.

Yasinta Ngonyani said...

Mwl! kumfuata huyo itabidi nifanya kazi kweli maana kwake nahisi naingia mara kumi labda. Hakika dunia INA CHANGAMOTO KWELI..Sijui anaweza kukimbia huyo si hata kutembea utakuwa mwendo wa kinyonga au kobe....

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta unauliza jibu. Kuna maeneo yake ya kujidai na akakimbia kweli kiasi cha kumuacha mtu hoi. You know what I mean. Unaweza ukakuta jamaa ni kipanga kwenye 18. We acha tu.

Anonymous said...

Mzee Mkwazi, hayo ndio maradhi ya Waafrika. Ukioa mke kimbaombao unaambiwa haujuwi kuchagua.

Miss K. said...

Duuuuh! hii kali! Huu ni ugonjwa kabisa wala si afya!!!

Jaribu said...

Anatumia dawa za kichina nini?

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Kaka sijui kama anatumia hiyo dawa ya kichina wala sijui kama ni ndwele wala manjonjo.

Anonymous said...

Hapo kuna watu mate yanawatoka!! Au unasemaje JARIBU??

Jaribu said...

Siyo mimi Anonymous. Huu mzigo kwangu ni mkubwa sana!