How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Tuesday, 13 August 2013

Hii akili au matope na ufujaji wa pesa na kuhatarisha maisha?


Tajiri mmoja wa kichina alikuja na mpya kwa kujenga mlima juu ya villa yake huko Uchina kiasi cha kulazimisha mamlaka za Uchina kumuamuru aondoe balaa lake. Usishangae kusikia matajiri uchwara na wa kutia shaka wa Bongo nao wakiigiza vitu kama hivi. Maana kwa baadhi ya wenzetu kuigiza mambo ya kipuuzi kama kuvaa nusu uchi hawana mfano. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

2 comments:

Jaribu said...

Nasikia Kikwete anauliza itadondoka lini akawape pole wafiwa. Vilevile anasadikiwa kuamini kuwa kudondoka kwa maghorofa ni dalili ya kukua kwa uchumi:-)

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Jaribu,
Wow! Yeah. Dr Zilch aliwahi kusema eti ukiona misongamano kwenye barabara za Bongo juu uchumi umekua. Huenda kuna namna nyingine ya kukuza uchumi. Hata hivyo sishangai. Kama aliwaambia wanafunzi wanaopata mimba kuwa ni kiherehere anaweza kusema lolote. Kweli kwa kupenda misiba lazima atakuwa anatamani idondoke akawahi kule na kukwepa kasheshe zake.