How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Tuesday, 18 March 2014

Jamaa wa Constipation Assembly sijui wakiiona hii wanapata somo

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! Kaaaazi kwelikweli!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta ni kweli kuwa ni kazi kweli kweli. Hata hivyo, ni jukumu letu kuhakikisha tunaifanya hii kazi ya kulikomboa taifa letu toka kwenye makucha ya manyang'au.

Anonymous said...

Mpaka Leo sijaelewa kwanini makao makuu hayajahamia Dodoma , Kila kukicha ikulu inakarabatiwa kwa mabilions mawaziri wana nyumba Dodoma na dar
Tanzania ni nchi pekee duniani yenye makao mawili
Na ni nchi maskini duniani yenye utajiri wa madini, rasilimali
Dodoma ilikuwa sera ya CCM
Tupige kura ya moani

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Hakuna cha kukarabati ikulu bali wakubwa wanatumia fursa hii kutuibia tu. Nakumbuka alianza Mkapa akatoa tenda kwa shemeji zake wakamkatia chochote kitu. Kimsingi, anachofanya Kikwete sasa ni kufuata nyayo. Kila ujambazi aliotenda Mkapa naye anaurudia hata na kuzidisha.