Da Yacinta ni kweli kuwa ni kazi kweli kweli. Hata hivyo, ni jukumu letu kuhakikisha tunaifanya hii kazi ya kulikomboa taifa letu toka kwenye makucha ya manyang'au.
Mpaka Leo sijaelewa kwanini makao makuu hayajahamia Dodoma , Kila kukicha ikulu inakarabatiwa kwa mabilions mawaziri wana nyumba Dodoma na dar Tanzania ni nchi pekee duniani yenye makao mawili Na ni nchi maskini duniani yenye utajiri wa madini, rasilimali Dodoma ilikuwa sera ya CCM Tupige kura ya moani
Hakuna cha kukarabati ikulu bali wakubwa wanatumia fursa hii kutuibia tu. Nakumbuka alianza Mkapa akatoa tenda kwa shemeji zake wakamkatia chochote kitu. Kimsingi, anachofanya Kikwete sasa ni kufuata nyayo. Kila ujambazi aliotenda Mkapa naye anaurudia hata na kuzidisha.
4 comments:
Duh! Kaaaazi kwelikweli!
Da Yacinta ni kweli kuwa ni kazi kweli kweli. Hata hivyo, ni jukumu letu kuhakikisha tunaifanya hii kazi ya kulikomboa taifa letu toka kwenye makucha ya manyang'au.
Mpaka Leo sijaelewa kwanini makao makuu hayajahamia Dodoma , Kila kukicha ikulu inakarabatiwa kwa mabilions mawaziri wana nyumba Dodoma na dar
Tanzania ni nchi pekee duniani yenye makao mawili
Na ni nchi maskini duniani yenye utajiri wa madini, rasilimali
Dodoma ilikuwa sera ya CCM
Tupige kura ya moani

Post a Comment