The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Wednesday, 9 June 2021

Japo Si Daktari, Rais Daktari Mmepata

Rais Samia Suluhu Hassan akimfariji mjamzito kwenye hospitali ya Mwananyamala. Kama mzazi anayejua uchungu wa kujifungua, SSH aliwake pembeni cheo kumchua, kumfariji na kumsaidia mwanamke mwenzake.


No comments: